Ijumaa, 20 Novemba 2015

ENTERTAINMENT

Tinashe anaisogeza nyingine

kutoka kwenye Album yake 

mpya; ‘Party Favors’ – (Video)!

Baada ya kuweka headlines kubwa na single ya Player (feat. Chris Brown), msanii wa muziki wa R&B kutoka MarekaniTinashe amerudi na nyingine kubwa kwa ajili yako weekend hii.
Wimbo unaitwa Party Favors na single hii pia itapatikana kwenye Album mpya yaTinashe, Joyride inayotegemea kuwa sokoni January 2016. Wimbo wa Player bado unaendelea kufanya vizuri kwenye chati mbalimbali za countdown Marekani ikiwemo pia kwenye chati ya Billboard 200.
TINASH1
Official music video ya Party Favors ipo hewani tayari na japo kuwa Young Thug ndiye aliyefanya feature kwenye audio version ya wimbo huu, kwa bahati mbaya kwenye video hii Young Thug haonekani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni