Jumanne, 22 Desemba 2015

ENTERTAINMENT

Nimekusanya videos 20 za 

Africa zilizogusa watazamaji 

wengi zaidi YouTUBE… 

TZ ipo moja tu!

Ni muziki wa Africa kwenye headlines… najua nina watu wangu wengi ambao ni mashabiki wakubwa wa muziki wa Africa na ndio maana leo nimechukuwa time ya kukusanya videos ambazo zimefanikiwa kugusa watazamaji wengi zaidi kwenye mtandao wa YouTUBE.
Inawezekana zipo nyingi ila ripota wako wa nguvu amefanikiwa kuzinasa hizi 20 zenye uwingi wa viewers kuanzia milion 10 na zaidi kwenye mtandao wa YouTUBE… ndani yupo D’Banj, Yemi Alade, Davido, Sarkodie, Iyanya, Fuse ODG na wengine kibao ikiwemo Mtanzania mmoja!
PP2
Hizi ni video 20 za wasanii wa Africa zilizofanikiwa kugusa watazamaji wengi zaidi kwenye YouTUBE:
1. P Square – Personally: 57, 122,624 Milion YouTUBE views.
YouTUBE1
2. D’ Banj – Oliva Twist: 36, 397, 296 Milion YouTUBE views.
YOUTUBE11
3. Yemi Alade – Johnny: 33, 597, 455 Milion YouTUBE views.
Alade
4. Davido – Aye: 28, 374, 016 Milion YouTUBE views.
YOUTUBE15
5. P Square – Shekini: 25, 708, 163 Milion YouTUBE views.
YouTUBE9
6. Fuse ODG – Antenna: 18, 717, 661 Milion YouTUBE views.
YouTUBE2
7. Sarkodie – Adonai: 18, 204, 590 Milion YouTUBE views.
YouTUBE7
8. P Square – Collabo: 17, 236, 967 Milion YouTUBE views.
YouTUBE8
9. J. Martins – Touchin Body: 16,779, 296 Milion YouTUBE views.
YouTUBE6
10. Davido – Gobe: 16, 608, 739 Milion YouTUBE views.
YOUTUBE14
11. P Square – Alingo: 16, 288, 951 Milion YouTUBE views.
YOUTUBE13
12. Davido – Skelewu: 16, 063, 779 Milion YouTUBE views.
YOUTUBE12
13. Bracket – Mama Africa: 15, 862, 015 Milion YouTUBE views.
YouTUBE5
14. Fuse ODG – Million Pound Girl: 15, 504, 423 Milion YouTUBE views.
YouTUBE3
15. Mavins – Dorobucci: 14, 759, 676 Milion YouTUBE views.
youtube18
16. Iyanya – Kukere: 14, 048,985 Milion YouTUBE views.
YouTUBE4
17. Tiwa Savage – Eminado: 13, 106, 900 Milion YouTUBE views.
YOUTUBE17
18. Mavins – Adoabi: 13, 023, 728 Milion YouTUBE views.
YOUTUBE19
19. Diamond Platnumz – Number One Remix: 11, 844, 690 Milion YouTUBE views.
YOUTUBE16
20. Patoranking – Girlie O Remix: 10, 254, 830 Milion YouTUBE views.
YOUTUBE20
Kuna yoyote ambayo unahisi inatakiwa kuwa hapa lakini sijaiona? niambie kwa kunipa comment yako hapa chini mtu wangu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni