Alhamisi, 24 Desemba 2015

ENTERTAINMENT

List ya wakali 20 waliokimbiza 

East Africa 2015.. Alikiba, AY, 

Vanessa, Diamond, 

wote ndani.. (+Videos)

Countdown ya siku zinazokamilisha mwaka 2015 inazidi kutiririka huku muziki ukionekana kuibeba vizuri ramani ya East Africa kwenye level za kimataifa..!!
Najua watu wetu wamefanya kazi nzuri na kazi kubwa kuupeleka muziki kule ulipofika sasahivi.
Nimeikuta hii list kwenye ukurasa wa Citizen TV ya Kenya, ambapo wao wameitangaza list yao ya mwaka, ngoma kali zilizokimbiza zaidi kwa mwaka 2015… BIG UP sana yani, ni furaha kuona akiwa Vee Money, King AlikibaAY na Diamond Platnumz wote wamo !!
Hii ndio list ya midundo yote mtu wangu.
#20 >> The Kansoul Feat. Nameless– Moto wa Kuotea Mbali

19 >> Timmy Feat. All Stars– Welle Welle Rmx

#18 >> Dela– Mafeelings

#17 >> Timmy T Dat Feat. Kansoul– Tunakubali

#16 >> Dazlah Feat. Susumila– Kidekide

#15 >> Alikiba– Mwana

#14>> AY– Zigo

#13 >> Sauti Sol– Shake Yo Bam Bam

#12 >> Seroney Shuga

#11 >> ElaniNikupende

#10 >> Amos and Josh Feat. Rabbit King Kaka– Baadaye

#9 >> The Kansoul (Mejja Madtraxx)- Nyongwa

#8 >> Kristoff Feat. Frasha & Kingkaka – Dandia

#7 >> Diamond Platnumz Feat. Mr Flavour – Nana

#6 >> Kaligraph– Yego

#5 >> H-Art The band– Nikikutazama

#4 >> Avril– Nikumuona

#3 >> Vanessa Mdee Feat. K.O –  Nobody But Me

#2 >> Octopizzo– Something for You

#1 >> Fena Gitu– African King

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni