Jumatano, 23 Desemba 2015

DUNIANI

Mwanamke alivyomalizia 

hasira kwenye gari baada ya 

kumfumania mpenzi wake 

Brazil.. (+Video)

Hii video imeenea sana mitandaoni lakini haina maelezo juu ya mazingira ya tukio lenyewe… nimefanikiwa kukipata chanzo cha habari kutoka Brazil wakiwa na stori yote ilivyokuwa mpaka mwanamke huyo kuamua kumalizia hasira zake kwenye gari.
Mwanamke huyo hajatajwa jina, ila tukio limetokea Ceilandia jirani na Jiji la Brasilia, Brazil na ilikuwa December 5 2015… mwanamke ni mjamzito kamfuma mpenzi wake akiwa na mwanamke mwingine mgahawani… hasira yake akaona akamalizie kwa kubonda gari la mpenzi wake.
Video yenyewe hii hapa mwanamke alivyobonda gari kwa mawe na kulikanyaga baada ya fumanizi.

KWA CHOCHOTE KUHUSU HII TAFADHALI TOA MAONI YAKO HAPO CHINI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni