Staa wa Nigeria David Adedeji Adeleke aka Davido ana hit nyingi tunazozijua Skelewu,Aye na ile Tchelete aliyofanya na wakali wa Mafikizolo, zote ni kali !
Karibu tena mtu wa nguvu fan wa Davido, amekuletea video ya single mpya inayoitwa ‘The Sound’ akiwa amewashirikisha Dj Buckz pamoja na kundi la Uhuru kutoka Afrika Kusini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni