
.
Mtu wa nguvu utakuwa umeshaisikiliza ile single mpya ya rais wa Manzese, Madee‘Vuvula’ sasa time hii amekusogezea hiki kionjo cha video hiyo mpya.
Video hiyo mpya inatarajiwa kuzinduliwa rasmi mwezi Feb tarehe 7 kwenye ukumbi wa ufukwe wa bahari Escape One Mikocheni Dar es Salaam.
Tazama hapa kionjo cha video hiyo mpya play
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni