Jumatatu, 9 Novemba 2015

ENTERTAINMENT

Kama unazikubali kali 

za Davido, ipokee na hii

 nyingine mpyampya.. 

‘The Money’ 

Feat. Olamide (Video)

David Adedeji Adeleke a.k.a Davido ni staa mwenye headlines zake za nguvu toka Nigeria..!! Ukali wake ameuthibitisha kwenye midundo mingi sana aliyofanya yeye mwenyewe na nyingine kali za collabo na majina makubwa Duniani.
Davido-Olamide-The-Money
Okay, kwenye kuweka sawa kumbukumbu zinazomhusu staa Davido, sasahivi imebaki siku chache tu kufikia ile siku ambayo atakuwa anasherehekea birthday party yake ambayo itakuwa November 21 2015, Davido atakuwa anatimiza miaka 23 !!
Davido
Unajua kuna kitu kipya cha Davido? Umekipata?
Kama majibu yako yote ni HAPANA, basi karibu kuenjoy hii mtu wangu, mpya ya DavidoFeat. Olamide– ‘The Money‘ (Video


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni