Alhamisi, 26 Novemba 2015

ENTERTAINMENT

Mayunga kashoot video

na mrembo aliyewahi 

kuonekana kwenye video 

ya Big Sean & Chris Brown, 

Ty Dolla Sign

Baada ya kushinda shindano kubwa la kusaka vipaji, Nalimi Mayunga aliondoka na mkataba wa kurekodi na Universal Studio wenye thamani ya dola 500,000 , pesa hiyo imetumika katika kurekodi audio &  video na mwimbaji Akon huko Los Angeles Marekani.
Mayunga amesharudi Tanzania baada ya kumaliza kazi yake ya kurekodi audio na video akiwa na Akon, sasa stori zinazochukua headlines ni kwamba Mayunga ameshoot video na mrembo aliyewahi kuonekana kwenye video ya Big Sean ft Chris Brown, Ty Dolla Sign Play No Games
MAGAZETI LEOOOOOO
Unaweza ukabonyeza play video hii kumuona mrembo au video queen aliyetumika kwenye video mpya ya Mayunga.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni