ENTERTAINMENT
Midundo ya Diamond Platnumz,
AY, Ray C, TID, Afande Sele
kwenye video zao kali
enzi hizo.. (+Video)

Kama ambavyo tunakutana na video kali, mastaa wanatoboa mipaka na kugusa headlines za kimataifa, wanapata Tuzo, show kali !!
Huu muziki wa Bongo Fleva una safari yake ndefu tu, wengine wapo kwenye game wengine hawapo… nakukumbusha na vitu vya zamani kidogo mtu wangu, hapa ninazo video za kitambo kidogo za mastaa mbalimbali TZ kwenye ubora wao yani enzi hizo.
Diamond Feat. Fatma & Romy Jones– Toka Mwanzo.
Ray C– Na Wewe Milele
TID– Zeze
AY– Inategemea na Mtu
Afande Sele Feat. Ditto– Darubini Kali
Unaweza kuacha comment yako ngoma ipi umeikubali au imekukumbusha mbali zaidi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni