Jumanne, 24 Novemba 2015

ENTERTAINMENT

P Diddy anaisogeza 

remix ya ‘Workin’ pembeni 

Travis Scott na 

Big Sean – (Video).

Baada ya kuachia album yake ya MMM mwanzoni wa mwezi huu, Mkurugenzi wa lebo yaBad Boy Entertainment, P Diddy anaisogeza kwetu remix ya Workin. Hii ni moja ya single zinazopatikana kwenye Album mpya ya msanii huyo.
Kama wewe ni shabiki wa Travis Scott na Big Sean basi utapenda kukutana na video hii iliyotaarishwa na Hype Williams Travis Scott na Big Sean pia wataungana naRihanna kwenye tour yake ya ANTI World Tour, March 2016.
woork3


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni