Alhamisi, 19 Novemba 2015

ENTERTAINMENT

Rick Ross anaisogeza nyingine 

mpya wiki hii, ‘2 Shots’ na video

yake imenifikia! – (Video)

Tunazidi kuikaribia countdown kufikia uzinduzi wa Album mpya ya Rick Ross ‘Black Market’, Album inayotegema kuwa mtaani tarehe 4 December 2015, lakini kwa sasa rapper huyo anaendelea kuzisogeza videos kutoka kwenye mixtape yake ya September,Black Dollar.
Wiki iliyopita Rick Ross aliisogeza kwetu Sorry wimbo ambao video queen wake alikuwa si mwengine bali mchumba wake Lira Galore… na wiki hii rapper huyo anaisogeza nyingine mpya, wimbo unaitwa 2 Shots na video yake ipo hewani tayari.
rozel3
Hapa chini ninayo official music video ya Rick Ross, kama bado haijakufikia bonyeza play kuinasa moja kwa moja.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni