inashe anaisambaza rasmi ngoma yake mpya ‘Player’ feat. Chris Brown
(Video)!

Baada ya kuisogeza kwetu behind the scenes ya video yake mpya, msanii wa muziki waPop R&B kutoka Marekani, Tinashe ameamua kuidondosha video ya wimbo wake mpyaPlayer feat. Chris Brown.
Player ni single ya kwanza itakayopatikana kwenye Album mpya ya Tinashe, Joyride,mbali na kushirikiana na Chris Brown kwenye wimbo huu, wasanii wengine wakubwa watakaosikika kwenye Album mpya ya msanii huyo ni pamoja na Max Martin, Dr. Luke, Hit-By, Travis Scott (ambaye pia ndiye aliyehusikia kwenye uandishi wa single hii),Young Thug na wengine kibao.
Alipoulizwa nini kilimsukuma kufanya kazi na Chris Brown, Tinashe alikuwa na haya ya kusema; >>>” Chris Brown ni mtu ambaye ana kipaji kikubwa sana, cha kuimba na cha kucheza, na nilipomaliza kuingiza vocal zote nikaamua kumtafuta kuona kama angependa kuweka vocal zake pia ili kuifanya track iwe kali zaidi, akakubali”. <<<
ITAZAME HAPA CHINI>>>>>


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni