Kumbe Mr. Blue angeacha muziki ?!!
Moja ya mastaa ambao wamekua wakiwa na headlines za muziki TZ ni Mr. Blue ‘Bayser’, kuna wakati alitamani kuacha muziki? Jibu lake ni YES !! Blue anasema kuna wakati alijikuta njia panda ya nini afanye baada ya mama yake mzazi kufariki.

Mr. Blue
Mr. Blue amesema hakuwahi kuishi na mtu mwingine zaidi ya mama yake mzazi, hivyo hakujua baada ya msiba wa mama yake anaanza vipi maisha… baada ya kuachia hits kadhaa ikiwemo ‘Pesa‘ alirudi vizuri na kuamua kuendelea na muziki mpaka sasahivi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni