Maneno ya Rais mstaafu
Jakaya Mrisho kikwete
kuhusu kumaliza kulitumikia
taifa……

Ikiwa leo Novemba 5, 2015 ndio Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemaliza
muda wake wa kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,huku
Dk.John Pombe Magufuli akiapishwa kama rais wa awamo wa 5 wa
kuliongoza taifa hili.
Sasa kupitia kwenye akaunti ya twitter ya Jakaya Mrisho Kikwete
ameyaandika haya maneno kuhusu kulitumika taifa la Tanzania kwa miaka 10..
’Miaka 10 imekwisha. Imekuwa safari nzuri na yenye mafanikio
makubwa kwa nchi yetu. Taifa letu litabaki salama. Nawatakia kila la kheri’ – Kikwete
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni