Jumanne, 3 Novemba 2015

Runtown karudi na hii Official Video ‘Walahi’…

Runtown wa Nigeria karudi kwenye headlines za burudani baada ya kuachia video ya ngoma yake mpya ‘Walahi’ ambayo ipo kwenye album yake mpya ya ‘Ghetto University’.
Nakukaribisha kuitazama hapa…

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni