SIASA
Dakika tatu za Waziri Mkuu
Majaliwa kwenye jukwaa la
kiapo Dodoma mbele ya
Rais Magufuli… (+Video)

Ile list ya uongozi utakaoendesha Serikali ya awamu ya tano Tanzania inayoongozwa na Rais Dk. Magufuli inaendelea kukamilika ambapo jana November 19 2015 jina la Waziri Mkuu mteule liliingia ndani ya Bunge Dodoma likiwa ndani ya bahasha tatu kutoka Ikulu.
Aliyeteuliwa na kuthibitishwa kuwa Waziri Mkuu kwa Kura za Wabunge ni Mbunge wa Ruangwa, Majaliwa Kassim Majaliwa… leo amekula kiapo na tayari ameingia kwenye historia ya kuwa Waziri Mkuu wa 11 Tanzania… video yake hii hapa kutoka SIMU. Tv.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni