
Kama kawaida ya kila siku ya jumatano kupitia kipindi cha burudani kinachowapa kipaumbele
wasanii wa kutoka kanda ya ziwa (LAKE ZONE BEATZ) leo kimekutanisha video mbili tofauti katika sahani moja, za wasanii kutoka kanda ya ziwa ambapo video moja ilionekana nzuri zaidi na kupigiwa kura za kutosha kuonyesha kwamba director alijitahidi katika kuandaa kazi hiyo.
Bofya hapo chini kutazama video hizo na tafadhali tupia comment yako kwa video utakayoona ni kali kuzidi nyingine.
VIDEO 1
VIDEO 2
TUPIA COMMENT YAKO KWA KUCHAGUA VIDEO NAMBA 1 AU NAMBA 2.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni