ENTERTAINMENT
Hii video ya WizKid na Davido wakifanya show kwenye jukwa moja.
Show hii imefanyika december 3 mjini Lagos Nigeria na wasanii ambao hawajawahi kuonekana kwenye jukwa moja pamoja wakifanya show walionyesha watu kuwa hawana tofauti tena kama ilivyoripotiwa awali.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni