Ijumaa, 4 Desemba 2015

ENTERTAINMENT

Warembo 7 wa Afrika kwenye 

stage ya Miss Universe 

Marekani, mrembo wetu 

Lorraine nae ndani (+Pichaz)

Headlines za urembo December 2015 zinaibeba Tanzania kwenye uzito wake wa nguvu kabisa, naomba nikukumbushe kwamba fainali za Miss World ni December 19 2015, sio mbali sana hapo !! Lakini fainali za Miss Universe haziko mbali pia, ni December 20 2015.. kifupi ni kwamba hizo tarehe zimefuatana mtu wangu.
Tunao warembo wawili wanaotuwakilisha vizuri kwenye mashindano yote makubwa mawili >>>
LILIAN MREMBO
Huyu ni Mrembo wetu Lilian Deus Kamazima ambaye tayari yukoSanya China kushiriki fainali ya Miss World 2015.
Mrembo Lorraine Mariott akivallishwa Taji la Miss Universe Tanzania.
Mrembo Lorraine Marriot akivalishwa Taji la Miss Universe Tanzania… Huyu ndio mwakilishi wa TZ kwenye Miss Universe Duniani 2015.
Najua nimekusogezea post kadhaa za warembo wa Miss World, sasahivi nakukutanisha na warembo 7 wanaowakilisha nchi mbalimbali za Africa kwenye stage ya fainali ya Miss UniversePlanet Hollywood Las Vegas Resort & Casino ndani ya Las Vegas Marekani.
Lorraine Marriot Umri- 19 (Tanzania)
Jina: Lorraine Marriot
Umri- 19 (Tanzania)
Jina: Refilwe Mthimunye Umri: 24 (South Africa)
Jina: Refilwe Mthimunye
Umri: 24 (South Africa)
Jina: Debbie Collins Umri: 23 (Nigeria)
Jina: Debbie Collins
Umri: 23 (Nigeria)
Jina: Hilda Frimpong Umri: 26 (Ghana)
Jina: Hilda Frimpong
Umri: 26 (Ghana)
Jina: Whitney Shikongo Umri: 20 (Angola)
Jina: Whitney Shikongo
Umri: 20 (Angola)
Jina: Sheetal Khadun Umri: 26 (Mauritius)
Jina: Sheetal Khadun
Umri: 26 (Mauritius)
Jina: Ornella Obone Umri: 19 (Gabon)
Jina: Ornella Obone
Umri: 19 (Gabon)
Kila la heri kwa warembo wetu kwenye Mashindano hayo makubwa duniani… Unaweza kuwacheki kwenye page zao Instagram kwa updates zao kila wakati.
1: Lilian Deus Kamazima (mwakilishi wetu Miss World 2015) >> @ missworldtanzania2015
2: Lorraine Marriot (mwakilishi wetu Miss Universe 2015) >> @ lorraine_marriot

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni