Ijumaa, 30 Januari 2015

Maamuzi magumu ya Rapper Lil Wayne juu ya kundi la YMCMB

New Orleans rapper Lil Wayne sits with Birdman during the New Orleans Hornets NBA basketball game against the Miami Heat in New OrleansIshu ya mgogoro wa rapper Lil Wayne na YMCMB sasa umefikia mbali na time hii jamaa amefungua mashtaka alipwe dola za Marekani milioni 51 na msanii mwenzake Birdman.
Lil Wayne amemtaka jaji kuvunja mkataba wa lebel yao kwa kuwa hawajamlipa fedha zake ili awe huru kufanya mambo yake baada ya kundi hilo kushindwa kufanikisha Waynekuachia album yake ya Tha Carter V.
Mwanzoni mwa wiki hii Lily Wayne alinukuliwa akisema baada ya Cash Money kushindwa kumlipa pesa zake, ataondoka ndani ya kundi pamoja na wasanii Nick Minaj pamoja naDrake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni