Video hii iko katika mtandao wa Youtube,imerekodiwa katika mataa ya kuongozea magari Shanghai, China ambapo jamaa mmoja ambaye inasemekana alikuwa amelewa alifanya kosa kugeuza gari katika eneo ambalo haliruhusiwi, traffic alipomzuia jamaa huyo hakusimama.
Yule askari aliamua kuning’inia juu ya gari hiyo ambapo mbele walikutana na gari nyingine ambazo jamaa huyo alizigonga, askari huyo akaanguka chini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni