Jumatatu, 2 Februari 2015

Mara ya mwisho kuona video mpya ya Pasha ilikua lini? katuletea hii mpya 2015

Screen Shot 2015-02-01 at 4.21.37 PMNi yuleyule staa wa hit single ya ‘Ni Soo‘ na sasa kadondosha single nyingine ikiwa ni yake ya kwanza kuiachia kwa mwaka huu wa 2015.
Ukishaitazama usiache kutoa lolote lako la moyoni ili akipita akutane na comments za watu wake..
"BONYEZA PLAY KUTAZAMA"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni