Jumatatu, 2 Februari 2015

Ya Shilole kuhusu kumpiga kibao Nuh Mziwanda, na Nuh anazungumza pia hapa.

Screen Shot 2015-02-01 at 3.43.28 PMDecember 2014 Mwimbaji Shilole alivishwa pete ya uchumba na Nuh Mziwanda ambaye pia ni msanii, siku hii ilikua siku ya birthday ya Shilole.
Baada ya hapo waliendelea kuchukua headlines ila iliyokua nzito zaidi ni Shilole kudaiwa kumpiga kibao Nuh Mziwanda mbele za watu wakati wa consert ya #KibokoYao iliyofanyika viwanja vya Leaders Club Dar es salaam.
Baada ya hapo Shilole aliomba msamaha kupitia page yake ya instagram kwa mashabiki na kwa mpenzi wake akisema ‘Binafsi sikupenda ila ni hasira tu lakini haitotokea tena‘ alafu post inayofata Shishi akaandika ‘Naamini Nuh ni mwanaume sahihi kwangu maana hawezagi kurusha hata ngumi japo namchokozaga mie mjeuri tu
Sasa baada ya hayo ya Shilole, nakusogezea haya ya Nuh Mziwanda mwenyewe akiongelea kupigwa kwake kupitia Ayo Tv.
"BONYEZA PLAY KUTAZAMA"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni