Ijumaa, 6 Novemba 2015

Barnaba katuletea mrembo 

wingine Bongo Flevani… 

anaitwa Kleyah (Msobe Msobe 

Feat. Barnaba) #Audio

B

Staa wa Bongo Fleva, Barnaba ni mmoja ya mastaa wachache ambao ni waandishi wazuri wa nyimbo na ameandika ngoma nyingi sana ambazo zimeimbwa na mastaa wengine kama akina Vee MoneyShilole, na wengine wengi.
Barnaba Classic kaona atutambulishie mrembo mwingine, jina lake ni Kleyah… Mrembo huyu kaamua kuufuata muziki lakini kwa sasa bado ni mwanafunzi anayetarajia kupata Degree ya mambo ya Utawala wa Kimataifa (Master’s degree in International Management) mwaka 2016 Chuo cha Phoenix, Marekani.
Barnaba II

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni