Ijumaa, 6 Novemba 2015

‘Aiyola’ ya Harmonize 

imefanyiwa video tayari.. 

zitumie dakika zako 4 

kuitazama. (new video)

Harmonize ni mwimbaji mwingine bongoflevani na jina lake lilianza kutajwa sana kwenye radio kutokana na single yake ya ‘Aiyola’ akiwa ni mmoja wa vijana walioshikwa mkono na Diamond Platnumz na studio yake ambayo inawasaidia wenye vipaji vyao.
Baada ya kuisikiliza sana kwenye Radio, Aiyola inapatikana kwenye video ambayo ndio hii hapa chini nimekusogezea, ukishamaliza kuitazama usiache kuandika comment yako ili akipita baadae ajue watu wake wanasema nini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni