Jumanne, 10 Novemba 2015

DUNIANI

Rais Obama na yeye 

katangaza kujiunga rasmi 

facebook.. (Video)

Hazijapita siku nyingi tangu Rais wa Marekani, Barack Obama atangaze kwamba anaanza rasmi kuisimamia mwenyewe account yake ya Twitter…. hiyo stori nakumbuka iligusa vichwa vya habari kwenye vyombo vikubwa vya habari Duniani katikati ya mwezi May 2015, unajua kwamba kumbe Rais Obama hakuwa anatumia Facebook kabisa !!
Bo
Saa chache zilizopita Rais Obama ametangaza kuanza kuutumia mtandao wa Facebook ambapo kautambulisha ukurasa wake anaotumia, na post ya kwanza aliyoweka ina ujumbe wake kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira.
Baada ya post hiyo, Boss wa Facebook , Mark Zuckerberg aliandika comment yake kwenye post hiyo kumpongeza kwa kujiunga na mtandao huo wa kijamii.

Mark
bonyeza hyo link hapo chini
https://www.facebook.com/potus/videos/425063411016838/

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni