Alhamisi, 12 Novemba 2015

ENTERTAINMENT

Ali Kiba na Christian Bella

wanakukaribisha uisikilize 

ngoma yao mpya, 

‘Nagharamia’ 

B
Hii ni collabo ambayo imewakutanisha wakali wawili ambao wote wamejivisha vyeo vya Ufalme, Ali Kiba a.k.a ‘King Kiba‘ pamoja na Christian Bella a.k.a ‘King of the Best Melodies‘.
Wimbo unaitwa ‘NAGHARAMIA’, kama na wewe uliusubiria kwa hamu hii ni time yako kuenjoy mdundo mwingine mzuri mtu wangu.
KINGS II

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni