Alhamisi, 12 Novemba 2015

ENTERTAINMENT

Yamoto Band wanaikamata

 Nigeria time hii wako na 

Bracket…

Baada ya kufanya vizuri kwenye hit single  ya Cheza kwa Madoido sasa time hii Yamoto Band wamefanya collabo na wasanii kutokea Nigeria maarufu kama Bracket.
Akizungumza kwenye exclusive interview  na Ayo TV Asley alithibitisha kwamba waliombwa collabo na wasanii hao kutokea Nigeria…‘Kwasasa tumetumiwa wimbo na Bracket yaani wameomba kufanya collabo na sisi Yamoto Band nafikiri collabo hiyo ikiwa tayari tutawajulisha mashabiki’ – Asley
DSC_8186
‘Sisi kama Yamoto Band tutaimba kwa lugha ya hapa nyumbani kiswahili halafu Bracket wataimba lugha yao wanayoitaka kama kingereza sawa kama Kinigeria sawa’ – Asley

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni