Jumatatu, 30 Novemba 2015

ENTERTAINMENT

Chris Brown ameileta ya 

kwanza kwenye video kutoka 

kwenye Album yake mpya, 

‘Fine by me’ – (Video).

Album mpya ya Chris Brown, Royalty imeanza kupatika kwa yoyote atakayeihitaji kwa kufanya pre-order yako mapema kabisa kwenye i-Tunes… na baada ya kuisogeza audio ya moja wa singles zinazopatikana kwenye Album hiyo, ‘Fine By Me‘, staa huyo wa muziki wa R&B amerudi tena kuziweka headlines na official music video ya single hiyo mpya.
fine by me2
Stori ya video hii inaanzia pale ilipoishia stori ya single ya awali Liquor/Zero ambapo time hii Chris Brown anaonekana anatoka kwenye duka na marafiki zake na ghafla anakutana na mdada mrembo anaemshawishi amfuate anakoelekea, baada ya hapo Chrisanaonekana akibalisha nguo kisha anapokea vitisho kwa mtu asiyemjua kwenye screen kubwa ya TV… Kinachofuata?
fine by me
Kudaka muendelezo wa stori nzima, bonyeza play hapa chini ikupeleke moja kwa moja kuzitazama dakika tano za kinachotokea mbele ya safari.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni