Alhamisi, 12 Novemba 2015

ENTERTAINMENT

Kwa watu wangu wa HipHop, 

hii ni nyingine mpya kutoka 

kwa Young Jeezy, 

‘Round Here’ – (Video)!

Rapper Young Jeezy anaendelea kuzisogeza single zake kutoka kwenye  mixtape yake ya Politically Correct mixtape, kwa siku 13 za mwezi huu wa NovemberYoung Jeezyatakuwa anaachia single mpya kutoka kwenye mixtape hiyo na wiki hii rapper huyo anaileta kwetu Round Here.
Tarehe 13 November 2015, Young Jeezy atadondosha Album mpya iliyopewa jinaChurch In These  Streets, album itakayobeba nyimbo 19 ambapo ndani wasanii kamaJanelle Monae na Monica Brown wameshirikishwa kwenye baadhi ya nyimbo.
JYZ3
Kama bado hujafanikiwa kukutana na video mpya ya Young Jeezy, feel free kuichecki video hiyo hapa chini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni