ENTERTAINMENT
Olamide amerudi na mdundo
mpya, ‘MVP’
na video yake imenifikia.

Baada ya kushirikiana na Davido kwenye ngoma yake mpya, msanii wa Nigeria kutoka lebo ya YBNL, Olamide amerudi kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani.
Kutoka kwenye album yake ya Street OT, Olamide anaisogeza kwetu official music video ya MVP, wimbo ulioandikwa special kwa ajili ya Quilox Club iliyopo Lagos, Nigeria.
>>> “ Huu wimbo nimeuandika kwa ajili Quilox Club na Mkurugenzi wao Shina Peller kwa sababu wamekuwa watu wenye upendo na support kubwa sana kwangu na kwa team yangu nzima ya YBNL. Sina cha kuwapa bali kuwaonyesha shukrani zangu za dhati na nawaombea kwa Mungu aendelee kuwabariki.” <<< alisema Olamide kupitia mtandao wa Bella Naija.
Nimekusogezea video hiyo hapa chini, bonyeza Play kuitazama.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni