ENTERTAINMENT
Ty Dolla $ign haishiwi
na midundo, nimeinasa
nyingine mpya kutoka kwake;
‘Violent’ – (Video)!

Zimebaki siku mbili tu mpaka Ty Dolla Sign aidondoshe Album yake mpya Free TC, lakini tukiwa tunaendelea kuihesabu countdown kufikia uzinduzi wa Album hiyo, msanii huyo waHip Hop anaileta kwetu kazi yake nyingine kutoka kwenye mixtape yake ya mweziOctober, Airplane Mode.
Ngoma inaitwa Violent, na Mtayarishaji wa ngoma hii si mwengine bali DJ Spinz & Southside… Kizuri zaidi kuhusu video hii mpya ni kwamba Wiz Khalifa na Rae Sremmurd wamekula shavu la kuonekana ndani ya video hii mpya ya Ty Dolla Sign.
Inawezekana video hii imeshgusa macho yako, lakini kama bado hujafanikiwa kukutana nayo, feel free kuicheki video hiyo hapa chini.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni