Habari Njema Kutoka Jerusalem Films kwa Wapenzi Na Waigizaji Wachanga wa Filamu
Wapenzi na wadau wa Jerusalem Films tunapenda kuwajulisha kuwa uchukuaji picha wa tamthilia yetu utaanza mwishoni wa mwezi wa 11.Hii nikutokana na kuingiliwa kwa ratiba kutokana na uchaguzi, waigizaji wengi tutakao wapa nafasi ni wapya, tutatoa utaratibu wa usaili.Tayari tumepata mkataba mzuri na moja ya Television ya kulipia, vile vile tunajipanga kuwatangazia siku za kuzitoa Chungu Cha Tatu, Chale Mvuvi na Kalambati Lobo.endelea kufurahia kazi za jerusalem films.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni