Hii ndio list ya mastaa
waliokuwa verified kwenye
twitter kaongezeka huyu…..
Mshindi wa Big Brother Africa 2014 Idris Sultan anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani… baada ya kuiwakilisha #255 vizuri kwenye shindano hilo kubwa la Africa,mafanikio mengi yamekuwa yakimfuata nyuma Idris Sultan.
Sasa leo Novemba 5, 2015 hatimaye mtandao wa twitter umempa umiliki halali wa akaunti yake ya twitter kwa kuwa verified.
Idris Sultan anaungana na mastar kadhaa wenye verified kwenye akaunt zao ambao ni pamoja na Rais Jakaya Kikwete,Ambwene Yesaya aka ‘Ay’,Flavian Matata, Diamond Platnumz.January Makamba, Lady Jay Dee, Vanessa Mdee, Edward Lowassa na wengineo.














Hakuna maoni:
Chapisha Maoni