Jumanne, 3 Novemba 2015

WIMBO WA SIMPLE DOGGY A.K.A RAIS WA MAGWANGARA (MARUDIO YATOKANAYO NA  DHAHABU), MSANII KUTOKA MKOANI GEITA WATAMBULISHWA RASMI KUPITIA KIPINDI CHA LAKE ZONE BEATZ KUPITIA BARMEDAS.TV

Wimbo wa msanii Rais wa magwangara watambulishwa rasmi na dj ludy b ambae ni mtangazaji wa kipindi cha Lake Zone Beatz kupitia barmedas.tv iliyoko Mwanza.
Wimbo huu umepata kutazamwa na kusikilizwa na watu kibao kupitia mitandao ya kijamii kutokana na maudhui yalio imbwa katika wimbo huo.

                          ITAZAME VIDEO HAPA CHINI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni