Jumatano, 2 Desemba 2015

DUNIANI

Warembo kwenye michezo ya 

hatari !!.. 

cheki walivyokatisha juu 

ya kamba na high heels.. 

Huu mchezo wa kutembea juu ya kamba sio mchezo wa kawaida, hata mwanaume kupata ujasiri wa kutembea juu ya kamba yataka moyo !!
Lakini wapo ambao wako poa kabisa na wanajiamini kwamba wanaweza kukatisha bila hofu yoyote, unajua kwamba kuna wanawake waliothubutu kuvaa high heels na kutembea juujuu kwenye kamba ??!!
Wacheki hapa mtu wangu alafu uniambie kama wewe unaweza kuwa na ujasiri huo ?!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni