Jumatano, 2 Desemba 2015

ENTERTAINMENT

Mdundo mpyampya #OnAIR… 

Young Killer 

Feat. Juma Nature- 

‘Popote Kambi’ (+Audio)

Rapper mdogo anayewakilisha Rock City MwanzaYoung Killer ‘Msodoki‘ amerudi kwa kuisogeza ngoma nyingine kali kwenye masikio yetu…
Unajua Young Killer ni rapper mkali sana… na najua unaijua heshima aliyonayo mkongwe Juma Nature kwenye Bongo Fleva… wamekutanishwa kwa pamoja kwenye hii ngoma !! Fleva yake je??!!
Dakika zako tatu hapa kuisikiliza hii mtu wa nguvu >> Young Killer Feat. Juma Nature– ‘Popote Kambi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni