ENTERTAINMENT
Dakika zako nyingine za
kuenjoy collabo kubwa,
Christian Bella
Feat. Koffi Olomide-
‘Acha Kabisa’ (Audio)

Kama umekuwa karibu na mitandao ya kijamii utakuwa umeona post nyingi mfululizo za ‘King of the Best Melodies’, Christian Bella akituambia tukae tayari na ngoma yake ambayo ameshirikiana na Koffi Olomide !!
Mzigo tayari #OnAIR… hapa imenifikia mtu wangu !! Kazi nyingine nzuri kutoka mikononi mwa producer Man Walter.
Christian Bella yuko moto sasahivi na ngoma ambayo wameshirikiana na Alikiba, ‘Nagharamia‘… lakini Koffi Olomide nae kila kona anasikilizwa vizuri na mdundo wa ‘Selfie‘… wamekutana na hii ndio time ya kuenjoy kwa kubonyeza hapa >>> Christian Bella Feat. Koffi Olomide- Acha Kabisa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni