Alhamisi, 3 Desemba 2015


ENTERTAINMENT

Kumbe Ben Pol huwa hasikilizi 

nyimbo zake?katoa sababu hii..

Mkali wa Rnb Tanzania Ben Pol leo ametoa news ambayo tulikua hatuijui pamoja na kuwa anaandika muziki mzuri na kutupatia kama wasikilizaji kumbe yeye mwenyewe huwa hasikilizia nyimbo zake.
Ben pol alipokua akihojiwa na XXL ya Clouds Fm amesema kuwa hasikilizi kabisa nyimbo zake anazokuwa ameachia tayari>>’Nahisi nikisikiliza nyimbo zangu ambazo zimeshaenda radio kuna uwezekano wa kurudia kuandika kitu ambacho nimeshakitoa ndiyo sababu kuu huwa sipendi kusikiliza nyimbo nilizoachia radio

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni