Jumatatu, 14 Desemba 2015

ENTERTAINMENT

Ni headlines za Mafikizolo 

na Diamond Platnumz 

Afrika Kusini….

Najua watu wengi walikuwa na hamu ya kufahamu headlines za kundi la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini na Diamond Platnumz juu ya collabo yao waliyoifanya tangu 2014 lakini mpaka sasa haijatoka.
Kama ulikuwa umeshakata tamaa kuhusiana na collabo hiyo ya muda mrefu bila kusikika, basi stori ninayotaka kushea na wewe ni kwamba leo ndio wanafanya rasmi video ya wimbo huo mpya huko Afrika Kusini.
Msanii Theo ambaye ni mmoja wa memba wa kundi hilo aliwataarifu mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema leo ndio siku ambayo watashoot video yacollabo yao waliyoifanya na Diamond Platnumz.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni