ENTERTAINMENT
Ni MB Dog tena kwenye
kionjo cha video yake mpya……..

Soko kubwa la wasanii wa Tanzania kwa sasa wanajitahidi sana kuwekeza upande wa video na kiukweli mabadiliko yanaonekana kabisa namna ambavyo wasanii wetu wanavyotumia gharama kwenye muziki huu ambao kwa sasa umekua ajira.
Sasa time hii MB Dog ameshea na sisi kipande kidogo cha sekunde kadhaa kutuonyesha kitakachoonekana kwenye video ya wimbo wake wa Sio Siri.
Kwa mujibu wa msanii huyo kwamba video hiyo mpya inatarajia kutoka kati ya siku hizi mbili.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni