MICHEZO
Cheki video jinsi saini
ya Cristiano Ronaldo ilivyomtoa
machozi shabiki ….

Baada ya usiku wa December 1 kuchezwa michezo ya Kombe la Capital One Uingereza, December 2 ni zamu ya Hispania kushuhudia mechi za Copa del Rey kwa vilabu vyaReal Madrid kucheza na Cadiz, FC Barcelona kucheza na Villanovense. Headlines zilizoandikwa December 2 za staa wa soka wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ni shabiki kulia baada ya kufanikiwa kukutana na staa huyo pamoja na kupata saini ya Ronaldo.
Huu ni upendo wa hali ya juu aliyokuatana nao Cristiano Ronaldo uwanja wa ndege waBilbao Hispania akiwa kaongozana pamoja na mchezaji mwenzake Luka Modric na kukutana na mashabiki ambao walikuwa wakiisubiri timu ya Real Madrid, kilichovutia ni shabiki aliyemuona Ronaldo na kutoa machozi baada ya staa huyo kusaini jezi yake,
Hii ni video ya staa huyo wa soka alivyowasili uwanja wa ndege wa Bilbao na kukutana na love ya kutosha kwa shabiki.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni