VIDEOS
Siku yako haijaenda poa leo..?
Hapa ni lazima ucheke….
(+VIDEO)

Inawezekana siku yako haijawa poa sana leo, basi chukua time hii kuirejesha furaha kwa kucheka na vituko vya mchekeshaji kutokea Uganda Anne Kansiime.
Uwezo mkubwa alionao Kansiime katika uchekeshaji ndio unaochangia kujikusanyia mashabiki katika kona mbalimbali za dunia, Hii ni moja ya kazi zake waweza kuitazama na ukafurahia muda wako..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni