ENTERTAINMENT
Wajue wasanii walioshika
nafasi za juu zaidi kwenye
‘Top 50 Best Albums 2015’!

Kwenye list ya wasanii amabao mwaka huu umekuwa poa sana kwao, huwezi kuacha kumtaja Kendrick Lamar kwenye list yako… Nimekutana na stori kwenye mtandao waRolling Stone amabao wenyewe umetaja Album ya To Pimp A Butterfly ya Kendrick Lamar kama Album bora zaidi kwenye list yao ya Top 50 Best Albums of 2015.
Album ya tatu ya Kendrick Lamar, Musically, Lyrically and Emotionally imetajwa kamaBest Party Album for 2015 huku Album mpya ya Adele, ’25’ imeshika nafasi ya pili kwenye orodha ya Top 50 Best Albums of 2015, Album ya Drake; ‘If You’re Reading This Its Too Late’ imefanikiwa kuingia kwenye tano bora ikiwa inashika nafasi ya 3 kwenye Top 50 Albums for 2015.
Album nyingine za Hip Hop na R&B zilizofanikiwa kutajwa kwenye Top 50 Best Albums for 2015 ni pamoja na Album ya Future; Dirty Sprite 2 (DS2), Wildheart ya Miguel naReality Show ya Jazmine Sullivan.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni