Jumanne, 8 Desemba 2015

Umeiona video mpya ya 

Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’? 

ninayo hapa……

Belle 9 baada ya kutambulisha rasmi single yake mpya Burger Movie Selfie katika vituo mbalimbali vya radio Dec 7 2015,  sasa time hii pia ametusogezea na video mpya ya single hiyo.
Kwa mujibu wa msanii huyo ni kwamba video imeshutiwa Morogoro na director GQ wa Morogoro, itazame hapa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni